Thursday, June 27, 2013

Familia ya Mandela yakosoa wanahabri

Taarifa kutoka Ikulu ya Afrika Kusini zinasema kuwa hali ya kiafya ya rais mstaafu Nelson Mandela sio nzuri na kuwa imezorota katika saa 48 zilizopita.

Baada ya kumtembelea hospitalini, mwanawe mkubwa wa kike Makaziwa, alisema hali inaonekana kuwa mbaya lakini akaongeza kuwa Mandela anaweza kuwasikia jamaa zake wanapomuita huku akijaribu kufungua macho yake.

Makaziwe amesema “Nimekasirishwa sana. Kwa sababu Mandela ni kiongozi mashuhuri duniani, haimaanishi utu wake udhalilishwe pamoja na kuvuka mipaka kuingilia mambo yake binafsi Hapa naona kuna ubaguzi wa rangi, huku vyombo vingi vya kimataifa vikivuka mipaka, ni kama ndega aina ya Tai au Vulture wanaosubiri Simba kumla mnyama aliomuwinda.

Wamevuka mipaka ya maadili. Wakati hayati Margaret Thatcher alipokuwa mgonjwa mbona sikuona, ukaribu wa vyombo vya habari kiasi ninachokiona kwa banangu? Ni kwa sababu hii ni nchi ya kiafrika.

Mapema leo, Rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma alifutilia mbali ziara yake ya kwenda Musumbiji baada ya kumtembelea hospitalini aliyekuwa Rais wa Afrika Kusini, Nelson Mandela. Rais Zuma amesema kuwa Bwana Mandela yuko katika hali mbali ya afya.

Msemaji wa Zuma Mac Maharaj alisema kuwa hali yake imedorora zaidi

Mandela ambaye, ni rais wa kwanza mweusi wa Afrika Kusini, amelazwa hospitalini tangu tarehe 8 mwezi Juni akiugua maradhi ya mapafu.

Madaktari wanasemekana kufanya kila wawezalo kuhakikisha kuwa Mandela anapona.

Vikundi vya watu wenye huzuni mkubwa kuhusu hali ya afya ya Mandela, walikusanyika nje ya hospitali alikolazwa, wakiwa na ujumbe wa ugua pole kwa Mandela

Wadadisi wanasema kuwa wananchi wa Afrika Kusini wanaonekana kuwa tayari kwa habari zozote sasa kuhusu hali ya Mandela.

"tutasikitika sana ikiwa tutapata habari za kifo chake, lakini pia tutakuwa tunasherehekea maisha yake. Amefanya mambo mengi zaidi kwa nchi yetu,'' alisema kijana John Ndlovu, mwenye umri wa miaka 25.

Zuma alitarajiwa kuhudhuria mkutano wa marais nchini Msumbiji, hii leo lakini akaamua kuakhirisha safari yake.

Taarifa kutoka kwa ofisi yake ilisema kuwa anaendelea kuwapongeza wananchi wa Afrika Kusini wanaoendelea kuiombea familia ya Madiba.

Uamuzi wa Rais Zuma kufutilia mbali ziara yake ambako alitarajiwa kuhudhuria mkutano wa kikanda kuhusu uekezaji anaonyesha wazi kuwa hali ya Mandela inaendelea kuzorota zaidi kulingana na mwandishi wa BBC mjini Johannesburg Mike Wooldridge. 

 Ujumbe kwa Nelson Mandela 

Tuesday, June 25, 2013

Tanzanian International Shomari Kapombe on trial at FC Twente

Tanzanian International Shomari Kapombe on trial at FC Twente FC Twente will soon probably the Tanzanian Shomari Kapombe trial. Kapombe is a left back who currently plays for Simba SC in their own country is one of the two clubs. The notification is done by Tanzania Soccer. Kapombe is sixfold international and managed to score for Tanzania once. He will also work placements. Compared with other clubs Shomari Kapombe was born on January 28, 1992 in Tanzania. He came a few seasons funds from the Tanzanian club Police Morogoro Football Club over to Simba SC. Here, the back still has a contract until the end of December 2013. His club Simba SC gives permission to the youth to go try his luck abroad. "We have given the green light to go running courses in Europe and wish him great success. We expect him after the internships come back to participate. "To prepare with Simba SC Kapombe itself is very motivated and sees a career in Europe as a big dream.

Monday, June 24, 2013

Nelson Mandela yuko Mahututi

Wananchi wa Afrika Kusini wanaelekea kazini asubuhi ya leo wakiwa na simanzi huku wakisubiri habari kuhusu afya ya rais mstaafu Nelson Mandela ambaye madaktari wanasema yuko mahututi.

Taarifa kutoka ikulu ya rais zilisema Jumapili jioni kuwa Mandela alikuwa amezidiwa ingawa madaktari wanafanya kila wawezalo kuhakikisha kuwa anapata afueni.

Afisaa mmoja mkuu alisema kuwa raia wa Afrika Kusini wasiwe na maytumaini kupita kiasi.

Mandela ambye alikuwa rais wa kwanza mweusi wa Afrika Kusini, akiwa na umri wa miaka 94,alipelekwa hospitalini mapema mwezi huu, ikiwa ni mara ya tatu kwake kulazwa hospitalini akiugua ugonjwa wa mapafu mwaka huu.

Rais Jacob Zuma alisema Jumapili kuwa alimzuru Mandela Hospitalini na kuzungumza na mkewe kuhusu hali ya rais mstaafu.

Madaktari wanaomtibu Mzee Nelson Mandela wamesema hali yake imekuwa sio nzuri kwa saa ishirini na nne zilizopita na sasa ni mahututi.

Habari hizo zimekuja kupitia taarifa iliyotolewa na ofisi ya rais ya Afrika Kusini.

Taarifa hiyo imesema bado Mzee Mandela ameendelea kusalia hospitalini mjini Pretoria kwa siku ya kumi na sita akitibiwa mapafu yaliyosababisha tatizo kwenye mfumo wake wa upumuaji.

Rais Jacob Zuma amemtembelea Mzee Mandela na pia kuzungumza na jopo la matabibu wanaomtibu.

Baadaye bwana Zuma alirejea kauli yake ya kulitaka taifa na dunia kumuombea Mzee Mandela apate nafuu.

#Source: BBC Swahili

Friday, June 21, 2013

CUF yaomba kuongoza kambi rasmi ya upinzani bungeni.

Akiomba mwongozo wa Spika bungeni mapema leo,Mbunge wa Lindi Mjini Mhe Salum Halfan Barwani(CUF) amemtaka Spika wa Bunge Anne Makinda kutoa mwongozo na kuruhusu chama cha Wananchi CUF kuongoza kambi rasmi ya upinzani Bungeni kutokana na Wabunge wa CHADEMA kutokuwepo bungeni.

Baada ya kipindi cha maswali na majibu kuisha leo asubuhi, Mbunge wa Lindi mjini kupitia Cuf mh Baruani,amesimama na kuomba muongozo kwa mh.Spika akiomba sasa kwa vile kambi ya upinzani haipo bungeni na eneo lao kuwa wazi anamtaka spika kuruhusu mapinduzi kwa chama chake cha Cuf kuongoza kambi hiyo kwa sasa.

Mh Makinda akijibu muongozo huo kwa umakini tofauti na alivyo zoeleka kuegemea matakwa na sio kanuni amejalibu kueleza utaratibu wa kuunda kambi ya upinzani bungeni ambapo amesema kuwa mwaka 1995 chama cha NCCR Mageuzi waliunda kambi ya upinzani baada ya kutimiza asilimia 30 ya wabunge wao wakati, huo pia ameeleza mwaka 2000 Cuf waliunda kambi yao wenyewe pia,lakini mwaka 2005 kambi rasmi ya upinzani iliundwa na vyama vyote vya upinzani baada ya kuonekana kuwa Cuf wakati huu hawakutimai asilimia zilizokuwa zinahitajika ikabidi busara ya Spika wa wakati huu 'Very interesting ' hapa akabadili utaratibu badala ya asilimia 30,ikabadilishwa na kufika asilimia 12 hivyo kufanya upinzani kukidhi vigezo na kuunda kambi yao wote bili kujali vyama vyao amesema pia Spika wa wakati huu alitumia Diplomasia kuwaomba Cuf kuunda kambi na vyama vingine.

Kwa mwaka 2010 yeye alichofanya ni kutafasili nini maana ya kambi ya upinzani ambapo kwa mujibu wa Makinda anasema kambi ya upinzani ni vyama vyote vya upinzani vyenye wabunge ndani ya bunge,na kushangaa ni kwa nini Chadema hakijawajumuisha wenzao ndani ya kambi hii,akasema kwa sasa Cuf kikanuni hawawezi kuchukua kambi hiyo make Cdm hawajiarufu kiti kama hawaendelea kuwa kambi rasmi ya upinzani,hayo ndio yaliyojiri asabuhi hii Mjengoni.

Mbunge Moses Machali ajeruhiwa

Mbunge wa jimbo la Kasulu Mjini kupitia chama cha NCCR-Mageuzi Moses Machali amelazwa katika hospitali ya rufaa ya Mkoa wa Dodoma baada ya kuvamiwa na watu wasiojulikana jana usiku, nyumbani kwake eneo la Area D. 

#Source: eatv

Thursday, June 20, 2013

PINDA ARUHUSU POLISI KUPIGA WANAOKIUKA SHERIA

Waziri Mkuu Mizengo Pinda amesema jeshi la polisi litaendelea kuwakabili na kuwadhibiti ikiwa ni pamoja na kupiga wale wote wanaokiuka amri halali inayotolewa katika kulinda amani ya nchi iliyopo
Mhe Pinda amesema hayo bungeni mjini Dodoma wakati ya kipindi cha maswali kwa waziri mkuu akijibu swali aliloulizwa juu ya matukio ya polisi kudaiwa kupiga wananchi katika matukio ya hivi karibuni

ANGALIA VIDEO HAPA
PINDA BUNGENI

Tuesday, June 18, 2013

Mabomu Arusha baadhi ya wabunge wakamatwa,yumo Tundu Lisu

Wabunge kadhaa wa Chadema wameshikiliwa akiwemo Mh. Tundu Lissu. haijulikani kama yuko salama. polisi wanatumia nguvu kubwa kupita kiasi. Baadhi ya vyombo vya usafiri vilivyoachwa eneo la tukio polisi wanaviharibu kadiri wawezavyo. Usafiri wa abiria katika barabara ya Moshi-Arusha umesitishwa na hakuna gari zinazopita katika barabara hiyo. Majeruhi ni wengi na wamepelekwa hospitali.

Mabomu yalilipuliwa baada ya naibu mwenyekiti kuhitimisha kwa kuwaomba wananchi waliojikusanya eneo la Soweto waende ktk hospitali ya Mount Meru kwa ajili ya kwenda kuwaaga marehemu. Awali palitokea mabishano kati ya polisi na viongozi wa Chadema kuhusu mkusanyiko uliokuwapo hapo. Polisi walisema AICC wamekataa uwanja wao wa Soweto usitumike ktk shughuli yoyote. Bado vyombo vilivyoachwa uwanjani na wananchi vinaendelea kuharibiwa na polisi na baadhi ya wananchi wamejificha ktk fensi na baadhi ya nyumba zilizopo ktk uwanja wa soweto.

Mh Sugu apata ajali akiwa njiani kuelekea Arusha

Mbunge wa Mbeya mjini, Joseph Mbilinyi amepata ajali hivi punde katika eneo la kasheki wilayani Hanan'g akielekea Arusha mjini. Joseph Mbilinyi maaru Sugu alikuwa akielekea Arusha mjini kuungana na wabunge wengine ktk shughuli ya kuaga marehemu waliolipukiwa na bomu kwenye mkutano wa Chadema, mwishoni mwa wiki iliyopita. Katika ajali hiyo hakuna mtu yoyote amejeruhiwa, Mbunge huyo yuko salama, gari la Sugu limeharibiwa vibaya baada ya kugongana na basi la abiria.

Breaking News:Mabomu yarindima Arusha

Kutoka Arusha tunataarifiwa kuwa askari wanatumia mabomu ya machozi katika kutawanya wanachama wa CHADEMA waliokusanyika katika eneo la Soweto.
Gari la Lissu ladaiwa kuteketezwa vibaya kwa bomu
- Pikipi zadaiwa kuharibiwa vibaya
- Hali ya taharuki yatawala

Polisi wameanza kupiga mabomu wakati wabunge wa CHADEMA walipoanza kuhutubia maelfu kwa maelfu ya wafuasi wake. Hali ni mbaya sana hata watu wametelekeza magari na pikipiki zao, wabunge wote nao wamekimbia na mbaya zaidi wanapiga mabomu kila mahali.

Hali ni tete, mabomu yanarindima sana hali ni tete magari ya mevunjwa gari la Lissu laharibiwa, pikipiki zinavunjwa na polisi bila sababu.
 #Stay tuned for more information

Breaking News: Watu 4 wapoteza maisha kwa ajali

Watu 4 wamepoteza maisha papo hapo na wengine kadhaa kujeruhiwa kufuatia ajali ya Basi la Minziro Kwetu lililokuwa linatoka Bukoba kwenda Geitakupata ajali eneo la kona ya Kalongo,kijiji cha Kiziramuyaga Wilayani Muleba.

#source: Itv-Tanzania

Monday, June 17, 2013

TRA mkoa wa Singida yakusanya Mapato zaidi ya 2bn

Afisa habari wa TRA mkoa wa Singida Bw. Zacharia Gwagilo akitoa mada yake iliyohusu matumizi ya mashine za kodi (EFDs) kwa wafanyabiashara wasiosajiliwa na VAT kwenye semina iliyofanyika kwenye ukumbi wa mikutano wa kanisa la katoliki mjini Singida.

Meneja msaidizi wa TRA mkoa wa Singida Bw.Jacob (kulia) na mwenyekiti wa TCCIA mkoa wa Singida, Bw. Francis Mashuda wakifuatilia kwa makini semina ya uhamasishaji wa wafanyabiashara wasiosajiliwa na VAT kujiunga na mfumo wa kutumia mashine za kodi (EFDs).

Baadhi ya wafanyabishara wa manispaa ya Singida ambao hawajasajiliwa na VAT,wakifuatilia mada zilizokuwa zinatolewa na afisa habari wa TRA mkoa wa Singida Bw. Zacharia Gwagilo (hayupo kwenye picha).Mada hizo zilihusu matumizi ya mashine za kodi (EFDs).(Picha kwa hisani ya Mo blog).

Mamlaka ya mapato Tanzania (TRA) mkoa wa Singida, imekusanya mapato mbalimbali ya zaidi ya shilingi 2.7 bilioni kati ya mwezi Julai mwaka jana na Mei mwaka huu.

Akizungumza kwenye semina ya siku moja iliyohudhuriwa na wafanyabiashara wasiosajiliwa na VAT, iliyohusu matumizi ya mfumo wa mashine za kodi (EFDs), Afisa habari wa TRA mkoa wa Singida Zacharia Gwagilo, amesema makusanyo hayo ya kujivunia ni sawa na asilimia 86.21 ya lengo la kukusanya shilingi 3,147,100,000.

Zacharia alisema kuwa juhudi zaidi zinaendelea kuchukuliwa ili kuhakikisha wanakusanya mapato zaidi ya lengo walilojiwekea.

Katika hatua nyingine, Afisa huyo amesema awamu ya pili ya matumizi ya mashine za kodi (EFDs), inaanza mwaka huu na itahusu wafanyabiashara ambao hawajasajiliwa na VAT.

Amesema lengo ni kuleta uwiano katika ulipaji wa kodi mbalimbali.

Zacharia ametaja baadhi ya faida zitokanazo na matumizi ya mashine hizo kuwa ni kutoa uhakika na usalama wa taarifa, na taarifa hutunzwa katika kifaa maalum (fiscal memory).

Wakati huo huo, Zacharia ametumia fursa hiyo kuwakumbusha wafanyabiashara kukakikisha wanatoa risiti kwa bidhaa wanazouza na mnunuzi pia ahakikishe anadai risiti pindi anaponunua bidhaa kama sheria inavyodai.

Friday, June 14, 2013

ALLY CHOKI:NIKIFA ASHA ASIJE KWENYE MSIBA WANGU

Asha Baraka amesema kama ni roho mbaya Chocky ndio anaoongoza kwa roho mbaya.

MKURUGENZI wa Extra Bongo Ally Chocky ametoa kauli nzito kuhusu waajiri wake wa zamani, Asha Baraka na Baraka Msilwa.

Katika maongezi yake Chocky alisema katika watu asiowapenda duniani ni Asha Baraka (Mkurugenzi wa ASET) na Baraka Msilwa (Mwenyekiti wa ASET). Asha Baraka na Baraka Msilwa ni mtu na kaka yake.

Kiongozi huyo wa Extra Bongo akaenda mbali zaidi kwa kusema: “Nikifa leo hii Asha Baraka na Baraka Msilwa wasije kwenye mazishi yangu, na kama watanitangulia wao na mimi sitakwenda kwenye mazishi yao.“Nina uhakika leo hii nikipata matatizo au nikifa Asha na Msilwa watafurahi, sasa kuna haja gani ya watu kama hao kuja kwenye mazishi yangu.

“ASET ni kama simba wako tayari kukutafuna hadi macho, nimetafakari kwa muda mrefu sana nimevumilia mengi sana lakini nimeshindwa na sasa natamka rasmi, Nikifa wasinizike.”

Chocky ameorodhesha sababu nyingi sana za kufikia hatua hiyo lakini miongoni mwa sababu zake ni hizi tatu:

Kwanza kitendo cha Aset kumpeleka mahakamani kumdai gari, pili Aset kukataa kurudisha pesa za Miraji Shakashia na tatu ni ASET kutothamini michango ya wasanii walioizalishia pesa nyingi.

Chocky ansema kitendo cha Aset kumpeleka mahakamani kumdai gari ambalo walimpa mwenyewe kilimkera sana.

“Mtu anapokupeleka mahakamani maana yake ni kwamba yupo tayari hata ufungwe, ukifungwa maana yake ni kila kitu kwenye maisha yako kinaharibika.

“Gari walinipa wenyewe na maandishi yapo kwamba nikimaliza mkataba wangu gari litakuwa la kwangu.

Lakini badala yake wakanigeuzia kibao na kwenda kunidai mahakamani kwamba nimeiba gari.

Kuhusu Shakashia, Chocky amesema mwanamuziki huyo alichukua shilingi milioni tano za Extra Bongo ili ajiunge nayo na akasaini mkataba wake.

“Lakini badala yake Shakashia akaingia mitini na pesa zetu, Aset wakasema watazirudisha wao na sasa wanakuja na hadithi mpya.

“Wanasema hawawezi kurudisha hizo pesa eti kwa vile wananidai, wanasahau kuwa mkataba wa Shakashia ni kati yeke na Extra Bongo na sio Ally Chocky.

“Hata kama kipo wanachonidai hiyo ni kati ya Chocky na Aset na haiingii akilini kuliingiza suala la Shakashia ndani yake.

“Huu ni utapeli na inatoa picha kuwa Aset walimtumia Shakashia kufanya utapeli huu, lakini wajue kuwa mwisho wa siku atakayeathirika ni Shakashia mwenyewe,” alisema Chocky.

Kuhusu kutothamini wasanii waliozalishia pesa nyingi kampuni, Chocky anasema wasanii walipota ASET na kuizalishia pesa hawana chochote walichopewa kulingana na thamani ya kile walichokizalisha. “Sio pesa tu bali hata heshima pia hakuna,” alifafanua Chocky.

Chocky akazama zaidi na kuwataja wakongwe kama Shem Karenga na Kasongo Mpinda ambao waliwahi kufanya kazi katika familia ya kina Asha Baraka kupitia bendi za MK Group na MK Beats.

“Wako wapi Kasongo Mpinda na Shem Karenga, Kasongo aliwatengenezea pesa nyingi kupitia MK Group “Ngoma za Magorofani” huku Shem Karenga akiwatengenezea utajiri katika MK Beats “Tukunyema”.

“Lakini hebu tujiulize wako wapi hawa wazee na wana kipi cha kujivunia?” alihoji Chocky.

Haikuishia hapo, tuliamua kumpigia Asha Baraka ambaye naye alikuwa na yake ya kujibu kuhusu mapigo ya Chocky.

Asha Baraka amesema hayo ni mambo ya kike na kwamba kuzikana si tija.

Asha Baraka akasema: “Hata mimi sina mpango wa kwenda kwenye mazishi yake na yeye pia asije kwenye mazishi yangu.

“Hivi kuzikana ni nini? Wazazi wangu walifariki na Chocky hakuja kuzika, kilipungua nini? Halafu mi nikifa sitaona na yeye akifa sitaona kwahiyo hiyo siyo ishu, wamanyema wenzangu watatosha kunizika hata wasanii wote wasipokuja achilia mbali huyo Chocky.

“Nilimzikia wazazi wake na hakuliona hilo kwahiyo hata tusipozikana hakipungui kitu.

“Chokcy tunamdai gari na pesa shilingi milioni 13, kwenda mahakamani ni sehemu ya kudai haki na yeye kama anaona amedhulumiwa kuhusu pesa za Shakashia basi aende mahakamani.”

Asha Baraka alimtaka Chocky aelewe kuwa baadhi ya wasanii wa Twanga ni virusi na watammalizia pesa zake bure.

“Wako wasanii wamelelewa vizuri, wamefanyiwa mengi na Twanga na wanaelewa utu kwahiyo akijipendekeza kwao atapoteza pesa zake bure.

“Hao ni virusi wetu, wanatuletea taarifa zote za kila mtu anapotaka kuwachukua.

“Alikaa yeye na kamati yake yenye wakiwemo mpaka wafanyakazi wa umma na kuzoa wanamuziki wa Twanga”

Anawataja wasanii wa Twanga waliowahi kuchukuliwa na Extra Bongo ni pamoja na Ferguson, Rogart Hegga, Hosea, Otilya, Nyamwela, Danger Boy, Aisha Madinda, Maria Soloma, Subrina pamoja na Kanuti ambaye baadae alirudisha pesa zao na kubakia Twanga.

Asha Baraka anawataja wasanii wengine wenye damu ya Aset ambao wako Extra Bongo ni Ephraim Joshua, Martin Kibosho, Athanas, Banza Stone na yeye mwenyewe Chocky.

“Kwa mfumo huo utaona wazi kuwa Extra Bongo inapumua kwa nguvu ya Aset lakini sisi hatujasema kitu, kama ni kutoa kauli ya kutozikana basi sisi ndio tulipaswa kuwa wa kwanza,” alifafanua Asha.

“Tunajua pia kuwa Chocky alihusika kushawishi usajili wa Chaz Baba Mashujaa Band akiamini kuwa kwa kuondoka Chaz Twanga itakufa,” aliongeza

Asha Baraka amemtaka Chocky aonyeshe mfano wa namna ya kulea wasanii kwa kuwapa maisha mazuri wanamuziki waandamizi kama Banza na Rogart.

“Asiangalie mambo ya Aset, ajitazame yeye anaishi vipi na Banza anaishi vipi, badala ya kutoa milioni tano kumnunua Shakashia, angemnunulia japo Corola Banza au Rogart.

“Chocky aitishe mkutano wa waandishi wa habari halafu mimi na yeye twende na mikataba ya wasanii inayoonyesha mishahara na marupurupu tuone nani analea vizuri wasanii.

“Mimi nilifanya kazi Bima na sijajengewa nyumba wala kununuliwa gari, silalamiki kwa kuwa haikuwa sehemu ya makubaliano yetu.

“Kama Chocky anadhani muziki unalipa kiasi cha kumnunulia kila mtu gari na nyumba basi atuonyeshe mfano kupitia Extra Bongo.

“Kila baya linalomfika basi mchawi ni Aset, mbona mimi naumwa mguu na sijawahi kusema ni Chocky?

“Chocky akapime afya yake apate ukweli, tunajua rekodi ya sehemu alizopita, sasa asije akadondoka akasema ni Aset …akapime kwanza” alimaliza Asha Baraka.Chanzo:saluti5.com

Mwana FA kuahirisha Show yake? asema hamwogopi mwanamke

MSANII wa muziki wa kizazi kipya nchini Tanzania Mwana FA anafikiria kuahirisha shoo yake ya kesho kufuatia kifo cha msanii mwenzake wa kizazi kipya Langa Kileo, kilichotokea hivi punde jijini Dar es Salaam.
Mwana FA anafikiria kuahirisha shoo yake ya kesho iliyopangwa kufanyika katika viwanja vya Makumbusho ya Taifa jijini Dar es Salaam na tayari ameanza kuwasiliana na meneja wake kwa ajili ya hatua hiyo.
Hii itakuwa ni mara ya pili kwa Mwana FA kuahirisha shoo yake, awali ilipaswa kufanyika Mei 31 mwaka huu lakini ikaahirishwa kutokana na kifo cha aliyekuwa msanii mwenzake wa Bongo Fleva Albert Mangwea.
Hata hivyo Mwana FA ametoa tahadhara ya kejeri juu ya hatua hiyo huku akimtupia madongo mhasimu wake mkubwa Mwanadada Lady Jay Dee, katika taarifa yake aliyoitupia katika mtandao wa kijamii wa Facebook Mwana FA alisema kwamba,
"Msiba wa mwana HIPHOP mwenzetu Langa unanifanya nifikirie kuahirisha show ya kesho. Nawasiliana na manager wangu kisha nitawajuza ,but si kwa kumuogopa mwanamke,Let it be clear" alisema Mwana FA.

Mzozo mto Nile

Mto Nile

Bunge la Ethiopia, limefutilia mbali mkataba uliosaniwa wakati wa utawala wa kikoloni, ulioipa Misri na Sudan, haki ya kutumia maji mengi ya mto Nile.

Serikali ya Ethiopia, imehoji kuwa mkataba huo ulioidhinishwa mwaka wa 1929, umepitwa na wakati.

Serikali ya Misri, imepinga vikali hatua hiyo na imekasirishwa na uamuzi wa Ethiopia wa kujenga bwawa la maji, katika mto huo wa Nile, ikidai kuwa itapunguza maji yake.

Siku ya Jumatatu rais Mohamed Morsi, alisema hataki vita, lakini anachunguza njia zote.

Awali, nchi sita zilizoko katika eneo la bonde la mto Nile, ikiwa ni pamoja na Ethiopia, zilisaini mkataba ambao unafutilia mbali mamlaka ya Misri ya kuzuia ujenzi wa bwana katika mto Nile.

Chanzo cha Nile
Nile ina vyanzo viwili ndivyo Nile yenyewe (inaitwa pia Nile nyeupe) inayotoka katika Ziwa Viktoria Nyanza na Nile ya Blue inayotoka katika Ziwa Tana . Majina haya ya "nyeupe" na "buluu" yana asili yao katika mji wa Khartoum  ambako mito yote miwili inaunganika ilhali kila moja una rangi tofauti kutokana na udongo tofauti uliotia rangi yake kwenye maji yao.

Chemichemi za Nile ni mito yote inayopeleka maji kwenda Ziwa Viktoria Nyanza katika nchi za Tanzania,Burundi,Rwanda, Kongo, Uganda na Kenya. Chanzo kinachoanza mbali kabisa ni Mto wa Luvironza huko Burundi unaoingia katika Mto wa Kagera  na kufika
Ziwa Viktoria Nyanza

Mkono mwingine wa Nile inaanza Ethiopia ikiitwa Abbai  auNile ya Bluu inatoka katika Ziwa Tana.
Hakuna mapatano kabisa Nile inaanza wapi. Kawaida ya waandisha Waingereza ni kuhesabu kuanzia Ziwa Viktoria; waandishi wa mataifa mengine huwa wanaweza kuita tayari mto wa Kagera kwa jina "Nile ya Kagera".

Thursday, June 13, 2013

Nelson Mandela aendelea vizuri

Nelson Mandela in June 2010
Afya ya rais wa zamani wa Afrika Kusini Nelson Mandela imeanza kuimarika baada ya siku kadhaa kuwa katika hali mbaya. 
Kufuatia ripoti ya BBC wanasema anaendelea vizuri , isome mwenyewe ripoti hiyo hapa chini.
 
Nelson Mandela: South Africa welcomes 'progress'

Nelson Mandela in June 2010 This is Nelson Mandela's third time in hospital this year

South Africa's government is pleased that ex-President Nelson Mandela is responding well to treatment in hospital, it said in a statement.
The cabinet, which met on Wednesday, wished a speedy recovery to Mr Mandela, regarded as the father of the nation.
The 94 year old is spending his sixth day in a Pretoria hospital suffering from a recurrent lung infection.
Earlier, President Jacob Zuma said he was happy with Mr Mandela's progress after a "difficult few days".
Mr Mandela's grandson and family heir, Mandla, said the family had "been deeply touched" by the concern shown for Mr Mandela's health.
'Privacy'
Mr Mandela's wife Graca Machel has been at his bedside regularly since calling off a trip to London last week.
His daughter Zenani, who is the ambassador to Argentina, has also returned to South Africa to visit him.
Mr Mandela was elected South Africa's first black president in 1994 after leading the struggle against white minority rule.
He stepped down five years later.
"Cabinet wishes [former] President Nelson Mandela a speedy recovery and reassures the nation that he is receiving the best medical care," a government statement, published on Thursday, said.

Start Quote

Mr Mandela's failing health is an intensely personal issue for many of those now involved in the distressing task of managing the flow of information from a Pretoria hospital bed, to a waiting world”
"Cabinet is pleased that he is responding well to treatment and reiterates the request for the media and the public to respect the privacy of the former president and his family during this period." 

Mr Mandela has been in intensive care since he was taken to hospital on Saturday for the third time this year.
In December, he spent 18 days undergoing treatment for a lung infection and gallstones.

Before being admitted to hospital, Mr Mandela had been ill for some days at his Johannesburg home, with a recurrence of his long-standing lung problems, said a statement from the president's office on Tuesday.

Mr Mandela was imprisoned for 27 years for his role in the fight against apartheid and is believed to have suffered damage to his lungs while working in a prison quarry.
He contracted tuberculosis in the 1980s while being held in jail on the windswept Robben Island.

He retired from public life in 2004 and has been rarely seen at official events since.
 
Wednesday, June 12, 2013

MO PLUS ANAKUJA NA MAKALA WA UKOO VOLUME 1

Ndugu msomaji wa makala hii, leo nimeona ni vyema ni
kufahamishe kuhusu sanaa yetu ya hapa Tanzania amabayo imekua ni moja ya soko la ajira kwa vijana, watoto hata wazee pia.

Mo Plus kwa pozi gumu
katika kukuletea makala hii leo nina anza na mwana hiphop na mwanaharakati anaejulikana kama Mo Plus, masikani ni Arusha na shughuli nyingi za muziki anafanyia Arusha.

Wakati napiga nae story, mambo yalikua hivi:-

Manupa: Ulianza lini kujishughulisha na muziki huu wa Hiphop?

Mo Plus: Well,game nimeanza 96 nikiwa o level makumira sec nikiwa na crew iliyoitwa mad gangstaz mpaka 99.

Manupa: Baada ya school pale Makumira nini kiliendelea?

Mo Plus: Baada ya school kila mmoja akawa kimpango coz nilikua na mchz wangu aliyekua anaitwa nasty-b.

Manupa: Ok, vipi ulifanikiwa kwenda A level? kwa maana wanasema wanamuziki hawazingatii masomo

Mo Plus: Nilifanikiwa kuingia A level nikakandamiza alone mpaka chuo IAA,ndipo tukaiunda Kambitata nikiwa na Soja Brain,Papaya tukamuongeza Ntsiki later.

Manupa:Kambitata imeshafanya project ngapi so far?

Mo Plus: Kambitata ilitoa album ya kwanza 2005 iliyoitwa 'IMEANZA' chini ya Banjo Records, producer akiwa Warback pia after college kutokana na distance harakati zikafifia dzain japo crew ipo.

Manupa: ukiwa kama mwanahiphop unaejitegemea umeshafanya kazi za peke yako?

Mo Plus: Well, 2011 feb nilitoa mixtape yangu ya kwanza iliyoitwa 'BABA WA UKOO VOLUME 1', iliyokua na ngoma kama Hizi flow,Hiphop Movement, chini ya Dx wa Noizmekah studio ambaye ndio main producer wangu hadi sasa pia nimefanya kazi na studio kibao na maproducer tofauti kama John B ,samtimba,Q,Kz,Daz Knowledge na wengineo ,

Manupa: Vipi kwa sasa una project yeyote unafanya kuhusu hiphop?

Mo Plus: Ok, sasa hivi nadili na mixtape ya MAKALLA WA UKOO VOL 1, nikiwa na mwanangu JCB,mixtape hii itakua mtaani very soon so watu wangu wa stay tuned for it.

Manupa: asante kwa time yako Mo
Mo Plus: Pamoja sana Manupa.

Huyo ndio Mo Plus a.k.a baba Malcom, bonyeza hii link usikilize moja ya kazi zake alizofanya

Pia unaweza kuangalia baadhi ya video alizofanya huyu hiphop master toka arachuga

pia kuna nyingine hii hapa ina Sixteen