Music Stories


Unawajua hawa jamaa vizuri. Ni njemba zilizoamua kujipanga na kupangika hadi kufikia level hizi. Unajua nawazungumzia akina nani...? Ni hawa hapa...
Akon & P Square



Ila kizuri kuhusiana na hawa jamaa  ni kazi wanazofanya kuweza kupenya na kusikika anga za kimataifa na hadi kufanikiwa kufanya 'kolabo' na Rick Ross kwenye single yao Beautiful Onyiye
Mara baada ya kusign na recording label ya  universal music group nyota ya mapacha hawa imeonekana kuwaendea vizuri hadi kuweza kumiliki kitu cha private jet....
P Square private jet outside view

P Square private jet inside view
Kula bata kijana...
Sio kazi rahisi hadi kufikia hatua ya kumiliki 'mkebe unao paa' angani....
Hii ni changamoto kwa wasanii wetu hapa nchini. Music industry pays a lot if you will invest on it.....
NI HAYO TUU WADAU... Kama unamtazamo kama wangu tupia hapo kati tuone....