JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA AFYA NA USTAWI WA JAMII.
WIZARA
YA AFYA NA USTAWI WA JAMII INAWATANGAZIA MADAKTARI WOTE WANAOFANYA
MAFUNZO KWA VITENDO (INTERNS), WALIOPEWA BARUA ZA KURUDISHWA KWA
KATIBU MKUU WIZARA YA AFYA NA USTAWI WA JAMII, WANATAKIWA KURIPOTI MAKAO
MAKUU YA WIZARA YA AFYA NA USTAWI WA JAMII IFIKAPO SIKU YA IJUMAA
TAREHE 6 JULAI, 2012.
IMETOLEWA NA:
KITENGO CHA MAWASILIANO YA SERIKALI
3/07/2012