BADO YA MOTO:
SOMA ALICHOKISEMA MNYIKA MARA BAADA YA KUFUKUZWA UKUMBI WA BUNGE
"Kimsingi mwenye bajeti Rais..ukiwa na
bajeti mbovu manake ni udhaifu wa rais..ibara ya 90 (2) (b) kina sema "
ikiwa bunge likishindwa kupitisha bajeti rasi anavunja bunge...." Raisi
akivunja bunge Nchi inakwenda kwenye uchaguzi mwingine...ni wazi wabunge
hawa wa CCM watasema kwa ukali sana pale ndani..lakini mwisho wa siku
watapiga kura ya ndio..Sasa kwa nini tufike huku kote"