Zaidi ya watu Milioni 6 hufa kila mwaka kutokana na uvutaji wa sigara duniani kulingana na takwimu za shirika la afya duniani WHO. Kifo kimoja hutokea kila baada ya sekunde sita.
Je, kiwango hicho kinaongezeka?
Ni wajibu wa wewe na mimi kuelimisha jamii madhara ya kutumia sigara, chukua hatua leo, saidia na wengine kwa kushare ujumbe huu kwenye mitandao mbalimbali.

Je, kiwango hicho kinaongezeka?
Ni wajibu wa wewe na mimi kuelimisha jamii madhara ya kutumia sigara, chukua hatua leo, saidia na wengine kwa kushare ujumbe huu kwenye mitandao mbalimbali.
Tobacco's toll
<6 millionpeople die from tobacco use and exposure to tobacco smoke (one death every six seconds)Prevalence of smoking
22%of the world's population aged 15+ are smokers. 78% do not smoke. Non-smoking is becoming the norm.Tobacco control measures
<10%of the world's population is covered by any one of the MPOWER demand reduction measures at the highest level of achievement