Thursday, August 15, 2013

List ya wauza unga( dawa za kulevya) 255, hii hapa

“Wauza ‘UNGA’ 250 Hawa Hapa” – Gazeti la JAMHURI
Hii ndiyo orodha iliyopewa kichwa cha habari “Wauza ‘Unga’ 250 Hawa Hapa” yenye majina 255 iliyochapishwa na Gazeti la JAMHURI Jumanne Juni 13-19, 2013 linayodai (gazeti hilo) kuwa ni ya Watanzania wanaojihusisha na biashara ya dawa za kulevya.
MY TAKE: Kama orodha hii ni ya uhakika kama Gazeti la JAMHURI linavyodai (japokuwa kuna majina yanayojirudia kama #113 na #219), basi tunaona muendelezo uleule wa majina ya DAGAA badala ya PAPA ambao ndio wahusika wakuu katika biashara hii ya dawa za kulevya. Pia baada ya kuangalia majina haya, nina wasiwasi kuwa yawezekana wengi walio katika orodha hii ni watumiaji tu au wasambazaji wadogo wadogo kule mitaani. Na hapa ndipo linapokuja lile suala la “Punda wa Madawa” au “Drug Mules”!
SOURCE: Gazeti la JAMHURI
Orodha-ya-Wauza-Madawa-ya-Kulevya-1-Jamhuri
Orodha-ya-Wauza-Madawa-ya-Kulevya-2-Jamhuri
Orodha-ya-Wauza-Madawa-ya-Kulevya-3-Jamhuri 

Source:http://www.zanzibardaima.com