Monday, July 15, 2013

HAWA NDIO WANAJESHI WALIOTANGULIA WALIO KUFA DARFUR


Haya ni majina ya askari 7 waliofariki jumamosi ya Julai 13, ambao walikuwa kwenye vikosi vya kulinda amani nchini Sudan.

Ripoti hiyo imetolewa na msemaji wa JWTZ, Kanali Kapambala Mgawe.

1. Sajenti Shaibu Othuman,
2. Koplo Oswald Chaula,
3. Koplo Mohamed Juma,
4. Koplo Mohamed Chikilizo,
5. Pte. Rodney Ndunguru,
6. Pte. Peter Werema,
7. Pte. Fortunatus Msofe. 



Mungu awapumzishe kwa amani.
Mungu ibariki Tanzania.