Friday, August 3, 2012

KIKAO CHA WANASINGIDA WAISHIO DAR-ES-SALAAM



Kikao cha watu kutoka singida kitafanyika dar es salaam tarehe 18/08/2012 pale Rose Garden(Mikocheni).
Wenyeji wa mkoa wa singida wanaombwa sana kuhudhuria kikao hiki kwani ni mahususi kwa ajili ya kujiletea maendeleo ya mkoa wa Singida, ukipata ujumbe huu na ukiwa ni mmoja ya watu wenye asili ya Singida unaombwa kuhudhuria siku hiyo, pia wajulishe na wengine.Muda ni saa 11 Jioni.

Asanteni
wenu katika ujenzi wa Singida;
Daniel Manupa.