Thursday, June 20, 2013

PINDA ARUHUSU POLISI KUPIGA WANAOKIUKA SHERIA


Waziri Mkuu Mizengo Pinda amesema jeshi la polisi litaendelea kuwakabili na kuwadhibiti ikiwa ni pamoja na kupiga wale wote wanaokiuka amri halali inayotolewa katika kulinda amani ya nchi iliyopo
Mhe Pinda amesema hayo bungeni mjini Dodoma wakati ya kipindi cha maswali kwa waziri mkuu akijibu swali aliloulizwa juu ya matukio ya polisi kudaiwa kupiga wananchi katika matukio ya hivi karibuni

ANGALIA VIDEO HAPA
PINDA BUNGENI