Friday, June 21, 2013

Mbunge Moses Machali ajeruhiwa





Mbunge wa jimbo la Kasulu Mjini kupitia chama cha NCCR-Mageuzi Moses Machali amelazwa katika hospitali ya rufaa ya Mkoa wa Dodoma baada ya kuvamiwa na watu wasiojulikana jana usiku, nyumbani kwake eneo la Area D. 

#Source: eatv