Monday, June 10, 2013

Mzee Nelson Mandela aombewa makanisani

Maombi yamefanyika leo katika makanisa mbalimbali nchini Afrika kusini kumuombea afuweni Mzee Mandela anayeendelea kupokea matibabu hospitalini mjini Pretoria. Anaumwa mno lakini hali yake inaimarika,Alisema msemaji wa Mzee Mandela.Taarifa kutoka ikulu inaeleza kwamba Bwana Mandela ambaye ana umri wa miaka 94 anapumua mwenyewe pasi usaidizi wowote.

Maombi yamefanyika leo katika makanisa mbalimbali nchini Afrika kusini kumuombea afuweni Mzee Mandela anayeendelea kupokea matibabu hospitalini mjini Pretoria.
Anaumwa mno lakini hali yake inaimarika,Alisema msemaji wa Mzee Mandela.Taarifa kutoka ikulu inaeleza kwamba Bwana Mandela ambaye ana umri wa miaka 94 anapumua mwenyewe pasi usaidizi wowote.