Monday, May 27, 2013

Treni yaua, ni ELIAS MANENZE, mzaliwa wa Ruruma Singida



Katika ajali iliyotokea maeneo ya Ukonga Moshi Bar dar es salaam, ambapo treni iliigonga gari aina ya RAV 4. Dereva anaefahamika kwa jina la Elias Manenze, mzaliwa singida kijiji cha ruruma alikufa papo hapo na abiria wa gari hilo ambaye nimkewe yupo mahututi(ICU) katika hospitali ya Mhumbili.
Blog hii inatoa pole kwa wafiwa wote pamoja na kumuombe mama apate afya njema.
Bwana alitoa na bwana ametwaa jina la bwana lihimidiwe, amen.