Wednesday, May 29, 2013

M TO THE P HAJAFARIKI


Msanii mwenzake na marehemu Mangwear ambaye walikua wote South Afrika aliyeripotiwa kufariki na vyombo mbalimbali vya habari, si kweli kwamba amefariki, inasemekana M to the P naye alikuwa amelazwa hospitali moja huko south afrika hajafariki na hali yake kiasi flani inaendeelea vizuri na anaweza kuongea kwa sasa, kupitia xxl ya clouds fm wameripoti hivyo kupitia reporter wao aliyepo afrika kusini kwa sasa bw. Milladi Ayo.
Blog hii inaomba radhi kwa kuripoti taarifa za kifo cha m to the p hapo awali.
Tuzidi kumuombea afya njema M to the P, pia tuwaombee heri na baraka waliotutangulia.