Tuesday, August 14, 2012

UVUVI HARAMU KATIKA BWAWA LA KINDAI MANISPAA YA SINGIDA

Wavuvi katika Bwawa la Kindai manispaa ya Singida, wakitumia nyavu haramu ambazo zinavua samaki wangali bado wadogo mno.(Picha kwa hisani ya Mo blog).