Thursday, July 12, 2012

BREAKING NEWS: Naibu wa Spika wa bunge la Tanzania amesema hataki kumpa umaarufu Mh. Halima Mdee.

Naibu wa Spika wa bunge la Tanzania amesema hataki kumpa umaarufu mbunge wa Kawe Mh. Halima Mdee. Hilo limetokea pindi mbunge huyo alipotaka kutoa taarifa kwa naibu spika wa bunge wakati akisoma kifungu cha sheria  ya kuwaadhibu wabunge pindi wanaposhindwa kuthibitisha au kugoma msamaha mbele ya bunge.