
baadhi ya Abiria wakiangalia namna ya kuwaokoa wenzao

mmoja wa majeruhi wa ajali hiyo


baadhi ya abiria wakiwasaidia wenzao kutokea dirishani.
Hizi ni picha za tukio la ajali ya kugongana uso kwa uso mabasi kati ya DAR EXPRESS na SIMBA MTOTO, ajali imetokea maeneo ya wami njia ya Dar-Arusha, mpaka sasa hakuna ripoti ya kifo, japo inasemekana kuna abiria mmoja amebanwa katika ya vichwa vy mabasi hayo.
Mungu atuepushe na haya majanga, kwa habari zaidi, fuatilia vyombo vyo habari.