Monday, August 19, 2013

Sheikh Ponda apandishwa kizimbani Morogoro

Habari tulizozipata hivi punde zinaeleza kuwa Sheikh Issa Ponda amepandishwa kizimbani mkoani Morogoro chini ya ulinzi mkali wa polisi, amesafirishwa kwa helkopta ya polisi hadi Morogoro. Endelea kuwa nasi
Source :Mwananchi